Posts

Showing posts from October, 2019

DC Atibua Tukio la Ujambazi “Mlinzi wa Benki Alipanga Dili Waibe Milioni 70” (Video)

Image
Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya amefanikiwa kulizuia tukio lililopangwa na  Mlinzi wa Benki ambaye alitaka kupora fedha zaidi ya Million 70 zilizotolewa Benki kwa ajili ya mikopo ambapo alikuwa ndani ya gari hiyo akisindikiza fedha hizo baada ya kuwasiliana na majambazi ili waweze kuvamia gari hilo na kupora fedha hizo. DC Sabaya amesema Mlinzi huyo alizima simu baada ya kuwasiliana na Majambazi hao. VIDEO: N

Historia ya Chifu Mkwawa na Jinsi Wazungu Wanavyoificha

Image
Historia ya Chifu Mkwawa na Jinsi Wazungu Wanavyoificha Wahehe walimuita Mkwawa mtwa, waswahili wakamuita mfalme, Unyanyembe wakamuita mtemi, waha wakamuita Mwami na shuleni tukamuita Chifu Mkwawa, mwanaume pekee aliyewanyoa nywele wazungu  bila maji. Huyu mwanaume kiboko ya Wajerumani ni uzao wa yule jiniazi kutoka nchi ya Uhabeshi, Ethiopia ya leo, aliyefika katika ufalme wa Mwamududa miaka 1700 akiwa na teknolojia ya kuwinda kwa mbwa. VIDEO:

Mo Dewj: "Niliwaambia walioniteka waniue"

Image
Bilionea kijana Afrika na mmiliki wa mojawapo ya klabu maarufu ya soka Afrika mashariki Simba SC – Mohammed Dewji amezungumza kwa mara ya kwanza kuhusu sakata lake la kutekwa nyara mwaka jana na namna alivyotishiwa maisha yake nchini Tanzania. Katika mahojiano maalum na ya kipekee na BBC Swahili, Mo ameeleza kuwa kwa kipindi kizima, alihisi kwamba kuna uwezekano mkubwa hatoweza kutoka salama na kuwa mwisho wake wa maisha unakaribia. “Saa 24 za kwanza baada ya kutekwa zilikuwa kama mwezi. Imani ndio kitu kikubwa kilichonisaidia katika kipindi kizima.” Katika kuikumbuka siku hiyo, Mo ameeleza: “Walinifunga macho, miguu na mikono kwa siku tisa. Tulikuwa hatuongei sana, walikuwa sio watu wa hapa. “Walikuwa wakinitisha na kuniweka bastola kwenye kichwa na kuniambia wataniua.” ameeleza mfanyabiashara huyo. “Kufunga mlango (wa gari) tu, kugeuka nimekuta watu wanne ambao wamevaa mask nyeupe – wamefunika uso, wakapiga bunduki juu mara mbili halafu wameniwekea bu...

Watoto 11 Hawajulikani Walipo Kwa Zaidi ya Siku 10

Image
Watoto 11 wa kiume wakiwemo Wanafunzi wa shule za Msingi na Sekondari wametoweka kwa zaidi ya siku 10 katika Kijiji cha Mtimbwilimbwi Halmashauri ya Nanyamba, na bado haijulikani walipo Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Evod Mmanda amesema, Serikali ina taarifa hiyo ya Watoto kutoweka na wameshawahoji Wazazi huku juhudi za kuwatafuta zikiendelea Aidha, Mkuu huyo wa Wilaya amesema, sasa ni msimu wa korosho na inawezekana wapo kwenye mashamba ya Wakulima wakubwa wakiokota korosho Ametoa wito kwa Wazazi kuwa karibu na Watoto, hasa kipindi hiki cha msimu wa korosho kwani baadhi ya Wakulima wakubwa huwachukua wototo kama vibarua jambo ambalo ni kinyume cha sheria  

Njia nyepesi na isiyo na gharama ya kuongea na mumw au mke aliyekasirika

Image
Mara nyingi mitafaruko na kutokuelewana katika mahusiano huwa hakukwepeki hata iweje, hivyo endapo itatokea kutokuelewa katika mahusiano yenu, yaani mpenzi wako amekasirika  basi unatakiwa kuzingatia mambo yafuatayo ili kuleta maelewanao; Mpunguze mhemko Hasira hujaza kifua, huathiri mzunguko wa damu na ufahamu. Mtu aliyekasirika huwa vigumu kwake kusikiliza au kutazama mambo kwa jicho la tatu. Mwenye hasira huwa hafikirii matokea yajayo badala yake hutazama zaidi tukio na jinsi ya kupata ushindi iwe kwa maneno au kwa mapambano. Katika hali ya namna hiyo, mtu mwingine akija na busara za kutaka kumgeuza haraka haraka hawezi kumuelewa. Muhimu hapo ni kuacha kumwadama, kujibizana naye, kumshawishi asikilize badala yake mpe nafasi ya kusema atakavyo, abwate ajuavyo huku wewe ukimuitikia na kumkubalia lawama zake. “Basi mpenzi mwenye makosa ni mimi.” Kauli za aina hii zitampunguza hasira kwani atajiona mshindi. Msome saikolojia yake Kwa kuwa unamfahamu mpenzi wako kwa kina itakuw...

India: Mke Ajiua Baada ya Kudhihakiwa na Mumewe Kuhusu ngozi yake

Image
Mwanamke mmoja nchini India mwenye miaka 21 anadaiwa kujiua kutokana na kudhalilishwa na mumewe kwa sababu ya rangi nyeusi ya ngozi yake. Polisi wa jimbo la Rajasthan wamefungua kesi dhidi ya mume wa mwanamke huyo baada ya baba wa marehemu kumshutumu mume kuwa chanzo cha kifo cha binti yake. Polisi wameiambia BBC India kuwa mwanaume huyo hajakamatwa. Na mume akiwa bado kutoa taarifa kuhusu shutuma dhidi yake. Hii si mara ya kwanza kwa vitendo vya dhihaka dhidi ya wanawake wa India wenye rangi nyeusi kutokea na kusababisha vifo. Mwanamke mmoja mwenye miaka 29 alijiua mwaka 2014 baada ya mumewe kudhihaki rangi ya ngozi yake, polisi wameeleza.

INAUMA SANA:Kama Unafikiri Umepatwa na Mitihani Mikubwa Mfikirie Huyu Mwanafunzi....

Image
Ni msichana wa kidato cha nne ambaye wiki ijayo anaanza mitihani ya kumaliza kidato cha nne ila sio mitihani hiyo ninayotaka kuwaeleza... Juzi jumamosi ilikuwa graduation yao.Hivyo alitarajia wazazi wake wanakuja.Na alipigiwa simu kwamba safari imeanza tunakuja. Lahaula.Graduation imeanza mpaka imeisha haoni wazazi waliosema wanakuja.Anaomba simu kuwapigia hawapatikani.Giza linaingia bado hawapatikani wala hawafiki.ANALIA. Baadhi ya waalimu,wanafunzi wenzake na wageni waliokuja kwenye graduation wanambembeleza.Wanamuambia "nyamaza usilie kuna dharura kwenye maisha ni kawaida."Sherehe inaisha watu wanatawanyika. Kesho yake anataka tena wazazi wapigiwe simu waulizwe kulikoni?Simu zote hazipatikani. Jioni tena inafika.Simu inapigwa kutoka Dar.Waliopiga wanaulizia kama wazazi wa mwanafunzi (huyu tunayemzungumzia)walifika jana maana na wao wanawapigia hawapatikani na hawajarudi!!?? Ndipo ufuatiliaji kutoka pande zote unafanyika.Ukweli unafahamika.Ni ukweli mchungu.Lakini nd...

INAUMA SANA:Kama Unafikiri Umepatwa na Mitihani Mikubwa Mfikirie Huyu Mwanafunzi....

Image
Ni msichana wa kidato cha nne ambaye wiki ijayo anaanza mitihani ya kumaliza kidato cha nne ila sio mitihani hiyo ninayotaka kuwaeleza... Juzi jumamosi ilikuwa graduation yao.Hivyo alitarajia wazazi wake wanakuja.Na alipigiwa simu kwamba safari imeanza tunakuja. Lahaula.Graduation imeanza mpaka imeisha haoni wazazi waliosema wanakuja.Anaomba simu kuwapigia hawapatikani.Giza linaingia bado hawapatikani wala hawafiki.ANALIA. Baadhi ya waalimu,wanafunzi wenzake na wageni waliokuja kwenye graduation wanambembeleza.Wanamuambia "nyamaza usilie kuna dharura kwenye maisha ni kawaida."Sherehe inaisha watu wanatawanyika. Kesho yake anataka tena wazazi wapigiwe simu waulizwe kulikoni?Simu zote hazipatikani. Jioni tena inafika.Simu inapigwa kutoka Dar.Waliopiga wanaulizia kama wazazi wa mwanafunzi (huyu tunayemzungumzia)walifika jana maana na wao wanawapigia hawapatikani na hawajarudi!!?? Ndipo ufuatiliaji kutoka pande zote unafanyika.Ukweli unafahamika.Ni ukweli mchungu.Lakini nd...

INAUMA SANA:Kama Unafikiri Umepatwa na Mitihani Mikubwa Mfikirie Huyu Mwanafunzi....

Image
Ni msichana wa kidato cha nne ambaye wiki ijayo anaanza mitihani ya kumaliza kidato cha nne ila sio mitihani hiyo ninayotaka kuwaeleza... Juzi jumamosi ilikuwa graduation yao.Hivyo alitarajia wazazi wake wanakuja.Na alipigiwa simu kwamba safari imeanza tunakuja. Lahaula.Graduation imeanza mpaka imeisha haoni wazazi waliosema wanakuja.Anaomba simu kuwapigia hawapatikani.Giza linaingia bado hawapatikani wala hawafiki.ANALIA. Baadhi ya waalimu,wanafunzi wenzake na wageni waliokuja kwenye graduation wanambembeleza.Wanamuambia "nyamaza usilie kuna dharura kwenye maisha ni kawaida."Sherehe inaisha watu wanatawanyika. Kesho yake anataka tena wazazi wapigiwe simu waulizwe kulikoni?Simu zote hazipatikani. Jioni tena inafika.Simu inapigwa kutoka Dar.Waliopiga wanaulizia kama wazazi wa mwanafunzi (huyu tunayemzungumzia)walifika jana maana na wao wanawapigia hawapatikani na hawajarudi!!?? Ndipo ufuatiliaji kutoka pande zote unafanyika.Ukweli unafahamika.Ni ukweli mchungu.Lakini nd...

DAWA DAWA ONGEZA UUME NDANI YA WIKI MOJA TU OKOA NDOA YAKO LEO

Image
DOKTA ;0673160865 TUNATIBU NA KUPONESHA KABISA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME UUME MDOGO? BUSHA BILA KUPASUA KISUKALI NA VIDONDA VYA TUMBO? asilimia kubwa ya wanaume wanaupungufu wa nguvu za kiume NA maumbile madogo NI NINI KINACHOSABABISHA UUME KUZIDI KUWA MDOGO NA WEMBAMBA 1 kuugua chango LA uzazi 2 unene kupita kiasi 3 kuvaa nguo au chupi za kubana 4 kupiga punyeto kwa mda mrfu ,NI NINI TIBA YAKE MAKAKANUA MIX nidawa ya mitishamba iliyochanganywa NA mizizi kumi NA mbili urfusha NA kunenepesha UUME saizi upendayo ich 5,6,7, NA 8 kwa urfu NA sentimita 3,4, na 5 ipo dawa ya kunywa na kupaka NI NINI KINASABABISHA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME 1 kupungukiwa kwa homoni ya testerone 2 kuhudhurika kwa Neva au uti wa mgongo 3 utumiaji holela wa madawa ya kizungu 4 usongo wa mawazo na asira 5 utumiaji wa vyakula vya mafuta mengi NI NINI TIBA YAKE MAPRO POWER NO 2 NDIO tiba tosha kwa sasa kwani utibu matatizo matatu kwa pamoja 1 itakufanya uchelewe kufika kileleni dk 40 adi 60, MPAKA masaa...

Afande Sele Adai Rais Magufuli Pekee Ndio Uwekewe UKOMO wa Miaka 30 Urais, Akimaliza Turudi Kwenye 10

Image
Kuhusu kuondoa ukomo wa mihula ya urais, napendekeza mabadiliko yafanyike na yaandikwe kabisa kwenye katiba ya kwamba anayeongezewa mda ni Rais @MagufuliJP, akimaliza miaka yake 30 tunarudi kwenye utaratibu huu wa kawaida wa miaka 10 tulionao sasa hivi :Afande Sele #Ukomo_Urais. Toa maoni yako kisha #SHARE

TANESCO yatakiwa kuondoa vikwazo

Image
Shirika la umeme nchini (TANESCO) Kanda ya Kati limetakiwa kuanzisha kitengo cha huduma ya haraka ili kuondoa vikwazo kwa wawekezaji na wenye viwanda wanaokuwa na uhitaji wa umeme wa uhakika. Agizo hilo limetolewa jijini Dodoma, na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Binilith Mahenge katika mkutano baina ya Tanesco, wawekezaji na wenye viwanda kutoka Mikoa ya Kanda ya Kati wenye lengo la kuimarisha sekta ya nishati nchini. Amesema pamoja na uwepo wa sera bado wanapaswa kuwa wabunifu kitu ambacho kitawezesha wawekezaji kupata kwa haraka huduma za umeme katika uzalishaji wao kimkoa na taifa zima kwa ujumla. “Tunaelekea katika uchumi wa kati wa viwanda sasa ifike wakati muwe mnaenda mbali zaidi kwa kubuni mambo yenye manufaa kwa Taifa ili tupate uzalishaji wa kutosha unaotokana na shughuli za kimaendeleo kwa kuwapa kipaumbele wadau hasa wawekezaji,” amesema Dkt Mahenge. Aidha, Dkt. Mahenge amesema ili wawekezaji wazidi kusambaa mkoani hapa ni lazima shirika hilo liboreshe huduma za umeme k...

Harmonize Naye Amjibu Hivi Diamond Kuhusu Tamasha lake la Wasafi Festival

Image
 Muda mfupi baada ya msanii,  Diamond Platnumz kuwaalika Harmonize na Ali Kiba katika tamasha la Wasafi, wawili hao wameibuka na kumjibu. Leo Jumatano Oktoba 30, 2019 Diamond wakati akizungumzia tamasha hilo litakalofanyika Novemba 9, 2019  jijini Dar es Salaam alisema ana imani Harmonize atashiriki na kwamba amepeleka mwaliko kwa uongozi wa Ali Kiba, ili msanii huyo naye ashiriki tamasha hilo. "Wenzetu Nigeria ndio maana wanaendelea kwenye muziki kwani kunapokuwa na matamasha kama haya wanaweka tofauti zao pembeni, kumkuta jukwaa moja Wizkid na Davido ambao walikuwa na bifu kwao ni jambo la kawaida.” “Kwa nini tung’ang’anie bifu hata sehemu ambayo ni ya kutengeneza pesa na kutuleta Watanzania pamoja,” amesema Diamond katika mkutano wake huo na waandishi wa habari. Harmonize kwa upande wake alipoulizwa alijibu;  “achana na hayo mambo ya Diamond, tuongee mambo mengine.”

Mo Dewji azungumzia kuhusu siku tisa za kutekwa na watu wasiojulikana Adai Aliwaambia Wamuue

Image
Bilionea kijana Afrika na mmiliki wa mojawapo ya klabu maarufu ya soka Afrika mashariki Simba SC - Mohammed Dewji amezungumza kwa mara ya kwanza kuhusu sakata lake la kutekwa nyara mwaka jana na namna alivyotishiwa maisha yake nchini Tanzania. Katika mahojiano maalum na ya kipekee na BBC Swahili, Mo ameeleza kuwa kwa kipindi kizima, alihisi kwamba kuna uwezekano mkubwa hatoweza kutoka salama na kuwa mwisho wake wa maisha unakaribia. "Saa 24 za kwanza baada ya kutekwa zilikuwa kama mwezi. Imani ndio kitu kikubwa kilichonisaidia katika kipindi kizima." Katika kuikumbuka siku hiyo, Mo ameeleza: "Walinifunga macho, miguu na mikono kwa siku tisa. Tulikuwa hatuongei sana, walikuwa sio watu wa hapa. "Walikuwa wakinitisha na kuniweka bastola kwenye kichwa na kuniambia wataniua." ameeleza mfanyabiashara huyo. Mwaka jana mwezi Oktoba, Dewji alitekwa na watu wasiojulikana mjini Dar es Salaam. "Kufunga mlango (wa gari) tu, kugeuka nimekuta watu wanne ambao wame...

Kingwangala "Tuwaache Watu WETU Wamsherehekee Rais, Huyu ni Mtu Wao Tusimtenge na Watu Wake"

Image
Dr Kingwangala Ameandika Kupitia Ukurasa wake wa Instagram: "Umoja wa watanzania umejengwa na kuimarishwa sana na ‘utani’ miongoni mwetu. Ndiyo maana tumeweza kuoleana na kufanya kazi kwa kiasi kikubwa bila kugombana ama kubaguana kati yetu. Mfano, kabila kubwa kama la kwetu ama la wasukuma tuna makabila watani zaidi ya 10 hapa nchini. Na ndiyo maana ilikuwa rahisi sana kuuza mgombea wetu mwaka 2015. Mgombea wetu alikuwa anataniana na kuongea/kusalimia kwa lugha za makabila karibu yote nchini ili kujisogeza karibu yao wamuone ‘mwenzetu’. Lakini pia Mhe. Rais wetu anapenda utani, wakati mwingine hutoa utani mbaya kabisa 😀, kama hujamzoea unaweza ukatafuta pa kuficha sura yako. Watu wetu wa kila aina jana wamesherehekea birthday yake kwa upendo na Mshikamano wa kipekee. Nchi nzima imemuombea dua Rais wetu. Hali iliyoonesha kuwa kweli jana ni siku aliyozaliwa Rais Chuma/Jiwe tunayempenda. Birthday yake ilikuwa ya heshima, ya kiTaifa. Na miongoni mwetu wapo waliotania kuwa wan...

'Bilionea' Dr. Shika Hana Sehemu ya Kulala, Analala Kituo cha Magari Mnazi Mmoja Dar

Image
FAMOUS Dr Louis Shika— billionaire without cash—as he has nicknamed himself, is now putting up at Mnazi Mmoja bus stand in Dar es Salaam, the ‘Daily News’ has learnt. Dr Shika (pictured) became popular in 2017 when he attempted to buy the Lugumi’s mansions through the auction, offering the highest bid of 900m/-, which he later failed to settle. He has now relocated from Mabibo suburb to Mnazi Mmoja in efforts to get a Good Samaritan who can grant him 200 US dollars (about 500,000/-), which can “within three days make me the real richest person.” The billionaire is now ‘living’ at the Bus stand for com-muter buses that ply between Mnazi Mmoja and Buguruni, Mabibo and Tabata suburbs. In an interview with the ‘Daily News’ on Monday night at his new settlement, Dr Shika explained: “I have a lot of money in various accounts abroad. I need only 500,000/- to send to Switzerland for the country to release my 18,000 million dollars within three days.” He said that the 18,000 million doll...

Nafasi za AJIRA Zilizotangazwa Leo

Image
Bonyeza Links zifuatazo: Names Called for Interview at Tanzania Postal Bank (TPB Bank PLC) Job Opportunity at Coca Cola - Kwanza Limited, Warehouse Team Leader Job Opportunity at Diageo Tanzania - Business Performance Lead 16 International Job Opportunities at African Development Bank Group (AfDB) 9 New Government Job Vacancies UTUMISHI at Sokoine University of Agriculture (SUA) Job Opportunities at Pathfinder International - Director - Monitoring, Evaluation and Learning Job Opportunity at ETDCO Limited - Transport Officer Job Opportunity at Sense of Africa, HR Executive Jobs Opportunities at Simba Logistics Limited Ltd (SLL) - 50 Drivers Job Opportunity at Platinum Credit Limited - Sales Team Leaders