Wanaume Zanzibar WATOA Talaka Kwa Njia ya SMS, Elimu ya Ndoa Yahitajika zaidi

Wanaume visiwani Zanzibar wanadaiwa kutoa talaka kwa njia ya ujumbe mfupi wa simu za mkononi (SMS), kitendo kinachotafsiriwa kuwa ni dharau na kinyume cha Mila na Desturi za Zanzibar



  • TAZAMA VIDEO HII KISHA SUBSCRIBE YOUTUBE


Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi, Mgeni Hassan Juma amewataka wanandoa watarajiwa kuepuka talaka za kiholela ambazo athari zake ni kubwa katika jamii ikiwamo kutelekezwa kwa familia na watoto kutaabika

Alisema utoaji wa talaka kiholela kwa kiasi kikubwa unadhihirisha kwamba watu wanaingia katika ndoa bila ya kupata elimu juu ya ndoa na familia 

Comments

Popular posts from this blog

NAMNA YA KUSWALI HATUA KWA HATUA

UTUKUFU WA MJI WA MAKKA NA MSIKITI MTUKUFU

Kisa Cha Nabii Ibraahiym عليه السلام - Sehemu Ya 1