KUFA NA KUZIKA

Kifo sio mwisho wa mambo, lakini ni hatua mpya kwa mwanadamu na ni mwanzo wa maisha kamili ya Akhera. Uislamu kama ulivyo fanya hima kubwa ya kuzilinda haki tangu wakati wa binadamu kuzaliwa ndivyo pia ulivyo weka mkazo wa sheria ambazo zinalinda haki za maiti na kuangalia hali za familia yake na ndugu zake. Uhakika wa kufa na uhai Wakati wa kuwa mahututi Kumuosha maiti Nani anamuosha maiti? Kumswalia maiti Sehemu ya kuswalia swala ya jeneza Kuzuru makaburi Wasia Mirathi

Comments

Popular posts from this blog

NAMNA YA KUSWALI HATUA KWA HATUA

UTUKUFU WA MJI WA MAKKA NA MSIKITI MTUKUFU

Kisa Cha Nabii Ibraahiym عليه السلام - Sehemu Ya 1