Breaking NEWS: Viongozi wa Ulaya waingia kwenye mzozo mpango wa nyukilia wa Iran

Viongozi wa Ulaya wameanzisha mchakato wa kuingiza kwenye mzozo mpango wa nyukilia wa Iran, baada ya nchi hiyo kulegeza msimamo wake kuhusu mpango huo.

Iran ilijiondoa katika masharti yaliyofikiwa katika mkataba huo yanayodhibiti viwango vya uzalishaji madini ya urani, ambayo inaweza kutumiwa kuunda silaha za nyuklia.

TAZAMA VIDEO HII KISHA SUBSCRIBE YOUTUBE


Inasema ilifanya hivyo kujibu vikwazo vipya ya Marekani dhidi yake ilipojiondoa katika mkataba wa nyukli mwaka 2018.

Ufaransa, Ujerumani na Uingereza zimesema hazijaridhishwa na hoja ya Iran.

Comments

Popular posts from this blog

NAMNA YA KUSWALI HATUA KWA HATUA

UTUKUFU WA MJI WA MAKKA NA MSIKITI MTUKUFU

Kisa Cha Nabii Ibraahiym عليه السلام - Sehemu Ya 1