Zahera "Nimeondolewa Yanga Kwa Kukataa Kufanya KAZI na Charles Mkwasa"

Aliyekuwa Kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera amedai viongozi wa Yanga walimuhakikishia kuendelea kuwa Kocha hata kama angefungwa Misri

Hata hivyo, ameda ameondolewa baada ya kumkataa Mkwasa kama Msaidizi wake

NINI MAONI YAKO: Usisahau KU-LIKE na KU-SHARE ukurasa wetu ili uwe karibu na habari zote pindi zinapochipuka.

Comments

Popular posts from this blog

NAMNA YA KUSWALI HATUA KWA HATUA

UTUKUFU WA MJI WA MAKKA NA MSIKITI MTUKUFU

Kisa Cha Nabii Ibraahiym عليه السلام - Sehemu Ya 1