Yoweri Museveni Ataka Wauaji Wanyongwe
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, amekaririwa akizitaka mahakama zihakikishe wauaji wananyongwa ili kumaliza uhalifu nchini humo.
Museveni ambaye amekuwa akitoa kauli hiyo katika mikutano ya hadhara, hivi karibuni ameahidi kukabiliana na mahakama ili kuhakikisha wauaji wananyongwa

Comments
Post a Comment