Watoto Wawili Wauliwa Baada ya Kukutwa Wakijisaidia Hadharani

Wanaume wawili katika Jimbo la Kati la India, Madhya Pradesh wamekamatwa kwa madai ya kuwaua watoto wawili ambao walikuwa wakijisaidia haja kubwa hadharani

Roshini (12) na Avinash (10) walishambuliwa siku ya Jumatano karibu na barabara ya kijijini hapo na walikuwa wakijisaidia barabarani kutokana na kutokuwa na vyoo nyumbani kwao

Inaelezwa kuwa mamilioni ya raia wa India hujisaidia hadharani kutokana na nyumba nyingi kutokuwa na vyoo jambo ambalo huwaweka watoto na wanawake hatarini

Comments

Popular posts from this blog

NAMNA YA KUSWALI HATUA KWA HATUA

UTUKUFU WA MJI WA MAKKA NA MSIKITI MTUKUFU

Kisa Cha Nabii Ibraahiym عليه السلام - Sehemu Ya 1