Mambo yakuweka akilini katika maisha

*Mambo yakuweka akilini katika maisha:*

*1. Hata ufanye vizuri namna gani lazima wapo wakukupinga.*

*2. Wapo wanaocheka nawe ila moyoni wanaona kama unafanikiwa mnoo.*

*3. Wapo watakaokuchukia kwasababu haufanyi makosa kama yao, huwezi kuwa rafiki kamwe mpaka umetenda makosa kama yao.*

*4. Lazima utasemwa hata kama wewe ni mwema namna gani.*

*5. Ukicheka wapo wanaonuna wanaona kama unafaidi sanaa.*

*6. Wapo ambao hata uwatendee mema namna gani watalalamika tuu.*

*Shika hayo na wala usiogope hayo yakitokea, usipate hofu wala kudhani una makosa. Hakikisha una amani na usitende dhambi.

Comments

Popular posts from this blog

NAMNA YA KUSWALI HATUA KWA HATUA

UTUKUFU WA MJI WA MAKKA NA MSIKITI MTUKUFU

Kisa Cha Nabii Ibraahiym عليه السلام - Sehemu Ya 1