Mama aliyevunjwa mkono kuchangiwa fedha mbele ya Rais Magufuli
Rais John Magufuli alipowaamuru viongozi watendaji wa Kahama kumchangia mama aliyekuwa akitwanga kokoto kisha kuvunjwa mkono na mtuhumiwa aliyefahamika kwa jina la Daudi ambaye alimpiga na kumvunja mkono huku vyombo vya ulinzi na usalama vikishindwa kumchukulia hatua na kumsaidia.
Kila kiongozi mtendaji aliamuriwa kumchangia shilingi 50,000 na kufanikiwa kupata shilingi 500,000 papo hapo.

Comments
Post a Comment