Hapa Ndipo Mwinyi Zahera Alipo Ifikisha Yanga Msimamo Ligi Kuu

KMC imeanza kujiondoa kwenye nafasi za hatari baada ya ushindi wa hapo jana ikiwa na pointi sawa na Biashara United pamoja na Mbeya City huku Yanga ikishushwa hadi nafasi ya 18 ikiwa bado ina 'viporo' sita. Huu hapa msimamo wa ligi baada ya mechi mbili za leo.

Comments

Popular posts from this blog

NAMNA YA KUSWALI HATUA KWA HATUA

UTUKUFU WA MJI WA MAKKA NA MSIKITI MTUKUFU

Kisa Cha Nabii Ibraahiym عليه السلام - Sehemu Ya 1