Halima Mdee amaliza adhabu yake, afanyiwa sherehe

Mbunge wa Jimbo la Kawe-Dar es Salaam Mhe. Halima Mdee na Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA), aliyekuwa nje ya Bunge kwa adhabu ya kutohudhuria mikutano viwili amemaliza adhabu hiyo.

Baada ya adhabu yake kumalizika siku ya jana na kuanza kuhudhuria vikao vya Bunge alifanyiwa sherehe katika hafla iliyoandaliwa na Wanachama wenzake. Halima aliwashukuru wanachama wenzake kwa kuwa naye bega bega tangu alipopewa adhabu hiyo.

Comments

Popular posts from this blog

NAMNA YA KUSWALI HATUA KWA HATUA

UTUKUFU WA MJI WA MAKKA NA MSIKITI MTUKUFU

Kisa Cha Nabii Ibraahiym عليه السلام - Sehemu Ya 1