CUF wajitoa uchaguzi serikali za mitaa

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Prof. Ibrahim Lipumba amesema chama hicho hakitashiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa utakaofanyika Novemba 24 mwaka huu.

Pia Prof. Lipumba amebainisha kuwa watakaotangazwa watawahesabu sio halali, huku akiwataka wanachama wake kutoshiriki Uchaguzi huo kwa namna yoyote ile.

Uamuzi huo umefikiwa mara baada ya Leo asubuhi Baraza Kuu la chama hicho kukutana pamoja na kujadili kuhusu uelekeo wa CUF katika uchaguzi huo iwapo watashiriki au kutoshiriki.

Comments

Popular posts from this blog

NAMNA YA KUSWALI HATUA KWA HATUA

UTUKUFU WA MJI WA MAKKA NA MSIKITI MTUKUFU

Kisa Cha Nabii Ibraahiym عليه السلام - Sehemu Ya 1