Bakwata: Maadhimisho ya MAULID Kufanyika Novemba 09


Baraza Kuu la Waislamu wa Tanzania (BAKWATA) limetangaza kuwa mnamo Novemba 09, 2019 yatafanyika maadhimisho ya Kitaifa ya Maulid katika Viwanja vya Furahisha jijini Mwanza

Aidha, Baraza hilo limesema kuwa Baraza la Maulid litafanyika Kitaifa mnamo Novemba 10, 2019 katika Ukumbi wa Benki Kuu (BOT) Capripoint Mwanza kuanzia saa 9:00 Alasiri

BAKWATA imebainisha kuwa hayo yanajiri kutoka na kundama kwa mwezi siku ya Jumanne ya tarehe 29 mwezi wa 10 mwaka huu

Comments

Popular posts from this blog

NAMNA YA KUSWALI HATUA KWA HATUA

UTUKUFU WA MJI WA MAKKA NA MSIKITI MTUKUFU

Kisa Cha Nabii Ibraahiym عليه السلام - Sehemu Ya 1