Unaufahamu mmea wa maajabu unaokula wadudu?


Watch a carnivorous plant devouring an insect
Mimea inayokula nyama iliopo hatararini kuangamia imeanza kupandwa tena katika maeneo kadhaa ya Uingereza katika jaribio la kupunguza kuangamia kwake.
Wataalam wa mimea wanasema kwamba mimea hiyo ilio na umbo la kuvutia imetoweka katika maeneo mengi kutokana na uhaba wa maeneo yenye ardhi zenye unyevu.
Ikiwa na mikono inayoshika na kula wadudu, mmea huo ni mmojawapo ya makumi ya mimea inayokula nyama Uingereza.
Charles Darwin alifurahishwa sana na spishi ya mmea huo , na hivyobasi kukusanya picha na vipimo katika kitabu chake kwa jina Insectivorous Plants, kilichochapishwa 1876.
Anasema kwamba alipendelea sana kuhusu mmea kwa jina Drosera, unaofahamika kama Dawy kwa lugha ya Latin ikilinganishwa na kitovu cha spishi zote duniani.
Ni spishi ilio nadra kupatikana kulingana na Joshua Styles kutoka chuo kikuu cha Cheshire, ambaye alianzisha hisani yake ya hifadhi kwa jina North West Rare Plant Initiative kwa lengo la kuhifadhi mazingira.
Nchini Uingereza mmea huo umeorodheshwa kama ulioangamia na hupatikana chini ya maeneo 20 hivyobasi kutopatikana kwake na hali yake kulinishawishi kutaka kuupanda tena.
Joshua Styles kushoto) akibeba mbegu ya mmea wa SundewHaki miliki ya pichaCHESTER ZOO
Image captionJoshua Styles kushoto) akibeba mbegu ya mmea wa Sundew

Je mmea huo ni upi na unapatikana wapi?

Ulikuwa ukipatikana kwa wingi nchini England , mmea huo ulianza kuangamia katika karne iliopita.
Mabadiliko ya matumizi ya ardhi yamesababisha kukauka kwake katika maeneo yanye ardhi zilizo na unyevu.

Je mmea huo unazinduliwa vipi upya?

Joshua Styles alifanikiwa kupanda mmea huo kutokana na majani yaliokatwa yaliotoka katika mimea michache iliosalia ambayo imeweza kustahimili mazingira magumu katika eneo la Cumbria.
Alizindua mimea aina 10 katika eneo la Rsley Moss karibu na Warrington, akishirikiana na wakfu wa Chesser na ule wa wanyama pori wa Lancashire.
Mmea huo unaokula nyama unafaa kustahimili katika mazingira hayo na kuanza kuzaana.
''Kila mwaka wakati unapotoa maua unatoa makumi ya maelfu ya mbegu ndogo ndogo zinazofanana na vumbi'' , alisema.
Unapopanda 10 haionekani kama ni mingi, bali idadi ya mbegu zinazotolewa , ''ninatumai kupata mebgu nyingi mwaka ujao.
Great sundewHaki miliki ya pichaCHESTER ZOO
Image captionSundew ndio mimea ya kwanza inayokula nyama kufanyiwa utafiti na kumvutia Charles Darwin
Presentational grey line

Mmea wa Sundew (Drosera anglica)

Kawaida mimea hujipatia chakula kutoka kwa mchanga kupitia mizizi yao, lakini mimea inayokula nyama imepiga hatua ya kula protini za wanyama.
Mmea huo, una 'mikono' mingi midogo midogo inayotoa maji yenye harufu tamu ambayo huwavutia wadudu.
Mikono hiyo midogo baadaye huwashika wadudu hao na kuwakamua ndani ya majimaji hayo yanayonata.
Enzymes za mwilini hujitokeza polepole na kuwavunja wadudu hao kuwa chakula chenye virutubishi.
Presentational grey line
Wadudu huvutiwa na majani ya mmea huo.Haki miliki ya pichaCHESTER ZOO
Image captionWadudu huvutiwa na majani ya mmea huo.
Mtunzaji huyo mdogo alivutiwa na utaalamu wa mimea akiwa na umri wa miaka saba, na amekuwa akisoma mimea tangu hapo.
Anasema ni muhimu kuhifadhi mimea ya kula nyama kwa faida yao kwa mazingira na viumbe hai, na kwa faida yao ya baadaye, kama vile chanzo kinachoweza kutengeneza dawa mpya.

Comments

Popular posts from this blog

NAMNA YA KUSWALI HATUA KWA HATUA

Maana ya kufunga Maana ya kufunga katika Uislamu: Ni kufanya ibada kwa ajili ya Allah kwa kujizuia na kuacha kula, kunywa, kujamiiana, pamoja na vitu vyote vyenye kufunguza, kuanzia kuchomoza kwa alfajiri –ambao ni muda wa adhana ya Alfajiri- mpaka kuzama kwa jua – ambao ni muda wa adhana ya Magharibi-. «...Basi atakayekuwa katika mji (hayuko safarini) miongoni mwenu katika mwezi (wa Ramadhani) aufunge». Sura Albaqara, aya 185. Ubora wa mwezi wa Ramadhani Mwezi wa Ramadhan ni mwezi wa tisa katika miezi ya mwezi muandamo katika kalenda ya Kiislamu. Ni mwezi bora zaidi katika mwaka. Allah ameuhusisha peke yake kuliko miezi mingine kwa sifa nyingi bora na za kipekee, na miongoni sifa hizo bora ni hizi: Kwamba Ramadhan ni mwezi ambao Allah ameuhusisha na kushuka kwa Qur’ani kitabu kitukufu na bora kuliko vitabu vyote. Allah Mtukufu amesema kuwa: «Mwezi wa Ramadhani ambao imeteremshwa humo Qur’ani ikiwa ni muongozo kwa watu, na hoja zilizo wazi za muongozo na upambanuzi. Basi atakayekuwa mjini miongoni mwenu katika mwezi huu, basi afunge». (Sura Albaqara, aya 185) Mtume, swallalahu alayhi wasalam, amesema kuwa: «Utakapoingia mwezi wa Ramadhani milango ya pepo hufunguliwa, na milango ya Jahanamu hufungwa, na mashetani hufungwa minyororo». (Bukhari, Hadithi Na. 3103, Muslim, Hadithi Na. 1079). Hakika Allah ameuandaa mwezi huu kwa waja wake ili waelekee kwake kwa kufanya ibada na kuacha maovu. Kwamba mwenye kufunga mchana wa Ramadhani na akasimama usiku wake (kwa kuswali), Allah humsamehe madhambi yake yaliyopita. Mtume, swallalahu alayhi wasalam, amesema kuwa: «Mwenye kufunga Ramadhani kwa kuamini na kutaraji kupata malipo ya Allah, husamehewa madhambi yake yaliyopita». (Bukhari, Hadithi Na. 1910, Muslim, Hadithi Na. 760). Pia Mtume amesema kuwa: «Mwenye kusimama (kwa kuswali) katika Ramadhani kwa kuamini na kutaraji kupata malipo ya Allah, husamehewa madhambi yake yaliyopita». (Bukhari, hadithi na. 1905, Muslim, Hadithi Na. 759). Kwamba ndani ya mwezi wa Ramadhani kuna usiku wenye hadhi kubwa (Lailatul Qadri), usiku ambao ni bora sana kuliko nyakati nyingine za usiku za mwaka mzima. Allah ameeleza katika kitabu chake kwamba kufanya jambo jema ndani ya usiku huo ni bora zaidi kiliko kulifanya jema hilo siku nyingi nyingine. Allah amesema kuwa: «Lailatulqadri ni bora zaidi kuliko miezi elfu moja». (Sura Alqadri, aya 3). Mwenye kusimama katika usiku huo kwa kuamini na kutaraji kupata malipo ya Allah husamehewa madhambi yake. Huo ni usiku uliopo katika siku kumi za mwisho katika mwezi wa Ramadhani, na hakuna yeyote anayejua tarehe yake kwa uhakika. Ubora wa kufunga «Ambaye hakuacha kusema uzushi na kuutumia hakuna haja kwa Allah katika kuacha chakula chake na kinywaji chake». Kufunga kuna fadhila nyingi ambazo zimeelezwa katika sheria. Miongoni mwazo ni hizi zifuatazo: Kwamba mwenye kufunga mwezi wa Ramadhani kwa kumuamini Allah, kutii amri zake, kuamini fadhila zake zilizotajwa na sheria na kuwa na matarajio ya kupata thawabu kwa Allah, atasamehewa madhambi yake yaliyopita. Mtume, swallalahu alayhi wasalam, amesema kuwa: «Mwenye kufunga Ramadhan kwa kuamini kutaraji kupata malipo ya Allah, husamehewa madhambi yake yaliyopita». (Bukhari, Hadithi Na. 1910, Muslim, Hadithi Na. 760). Pia mwenye kufunga atafurahia malipo atakayoyapata wakati wa kukutana na Mola wake kwa sababu ya funga yake. Mtume, swallalahu alayhi wasalam, amesema kuwa: «Mwenye kufunga ana furaha mbili: furaha wakati wa kufungua kwake na furaha wakati wa kukutana na Mola wake». (Bukhari, Hadithi Na. 1805, Muslim, Hadithi Na.1151) Peponi kuna mlango unaoitwa Arrayaan. Haingii yeyote kupitia mlango huo isipokuwa tu wenye kufunga. Mtume, swallalahu alayhi wasalam, amesema kuwa: «Hakika, peponi kuna mlango unaoitwa Arrayyaan. Wenye kufunga wataingia kupitia mlango huo Siku ya Kiama. Haingii yeyote kupitia mlango huo ila wao tu. Patatolewa tangazo kwamba: Wako wapi wenye kufunga? Watasimama. Hataingia yeyote kupitia mlango huo isipokuwa wao tu. Wakishaingia, utafungwa na hataingia yeyote kupitia hapo». (Bukhari, hadithi Na. 1797, Muslim, Hadithi na. 1152) Pia Allah ameyahusisha kwake yeye tu malipo na thawabu za mfungaji. Ikiwa malipo ya mtu yanatoka kwa Mkarimu, Mtukufu, Mtoaji sana na Rahimu sana, anatakiwa ayafurahie yale ambayo Allah amemuandalia. Mtume, swallalahu alayhi wasalam, katika Hadithi Qudsiy amesema kuwa: «Matendo yote ya mwanadamu ni yake yeye isipokuwa funga. Funga ni yangu, na mimi ndiye nitakaye itolea malipo». (Bukhari, Hadithi Na. 1805, Muslim, Hadithi Na.1151) Hekima ya funga Allah amefaradhisha kufunga Ramadhani kwa hekima nyingi na faida mbali mbali katika dini na dunia, na miongonimwazo ni hizi: Kuthibitisha kumtii Allah na kumuogopa. Hiyo kutokana na kuwa funga ni ibada ambayo mja anajiweka karibu ya Allah kupitia ibada hiyo kwa kuacha anavyo vipenda, na kuyazuia mataminio yake. Anaidhibti nafsi yake kwa kumcha Allah na kumuogopa kila sehemu na kila wakati, katika siri na katika dhahiri. Kwa sababu hii, Allah Mtukufu anasema kuwa: «Enyi mlio amini, mmefaradhishiwa kufunga kama walivyofaradhishiwa waliokuwepo kabla yenu ili mpate kuwa wenye kumuogopa Allah». (Sura Albaqara, aya 183) Mazoezi ya kuacha maasi na madhambi Mwenye kufunga ajizuiapo kufanya mambo yaliyo halali kwa kufuata amri ya Allah atakuwa na uwezo zaidi wa kuyadhibiti mataminio yake ya kutaka kufanya maasi na madhambi, atachunga mipaka ya Allah na hatajiachia katika kufanya maovu. Mtume, swallalahu alayhi wasalam, amesema kuwa: «Mtu ambaye haachi kusema uzushi na kuufanyia kazi, basi Allah hana haja ya kuacha chakula chake na kinywaji chake». (Bukhari, Hadithi Na. 1804). Maana ni kwamba: Mtu ambaye haachi uongo na kufanya uchafu katika kauli na vitendo, huyo hajayafikia makusudio ya funga. Kuwakumbuka wenye shida na kuwasaidia Hiyo inatokana na kwamba katika funga kuna mazoezi ya kupambana na ukata, njaa, na kuwakumbuka maskini ambao wanapambana na hali ya kutokuwa na pato la kutosha siku zote. Kwa kufunga, mja huwakumbuka ndugu zake masikini na namna wanavyoteseka na mambo mawili machungu; njaa na kiu, na kwa sababu hiyo, atafanya juhudi ya kuwasaidia na kuwafariji.

UTUKUFU WA MJI WA MAKKA NA MSIKITI MTUKUFU