Mkuu wa Mkoa Katavi Awapa Waganga Kazi ya Kuwaroga Wananchi wa Mkoa Huo ili Wapige Kura

Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Juma Homera, amewataka Waganga wa Jadi mkoani humo kutumia ujuzi wao kuwaroga watu ili wakapige kura

Amesema kuwa, Waganga wahakikishe kuwa wanawaroga Wananchi ili wakawachague viongozi bora kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Uchaguzi huo unatarajiwa utakaofanyika nchi nzima Novemba 24, mwaka huu

Comments

Popular posts from this blog

NAMNA YA KUSWALI HATUA KWA HATUA

UTUKUFU WA MJI WA MAKKA NA MSIKITI MTUKUFU

Kisa Cha Nabii Ibraahiym عليه السلام - Sehemu Ya 1