Nini anapaswa kukifanya mtu anayetenda dhambi ili asipoteze Imani yake?

Anapaswa daima kukumbuka kuwa kutotekeleza wajibu ambao unalazimishwa na Imani yake ni kosa na ni dhambi na anapaswa ajisikie vibaya. Anapaswa aombe subira na msaada kutoka kwa Allah ili atekeleze amri za dini na kufanya yanayolazimishwa na Imani yake; anapaswa atubu na aape kutotenda dhambi tena.
Hapo tu ndiyo mtu ataweza kuihami Imani yake kutokana na taathira hasi za dhambi. Na kama hivyo, anaweza kuepuka hatari ya kupoteza Imani yake.
Maswali juuyau islamu

Comments

Popular posts from this blog

NAMNA YA KUSWALI HATUA KWA HATUA

UTUKUFU WA MJI WA MAKKA NA MSIKITI MTUKUFU

Kisa Cha Nabii Ibraahiym عليه السلام - Sehemu Ya 1