MIAMALA YA KIFEDHA

Uislamu umeweka kanuni na sheria zote ambazo zinamlida mwanadamu na pia kulinda haki zake za mali na kazi; sawa mwanadamu awe tajiri au masikini. Pia kanuni na sheria hizi zina mchango katika kuifanya jamii iwe na mashikamano na na maendeleo katika nyanja zote za maisha. Asili ya miamala ni uhalali Ambayo asili yake ni haramu Vilivyo haramu kwa kuchuma Riba Hadaa na Kutojua Dhuluma na kuchukua mali za watu kwa dhuluma Kamari na michezo ya kubahatisha
Comments
Post a Comment