JE WAJUA ZAKA NI NINI?

Allah amefaradhisha Zaka na kuifanya nguzo ya tatu katika nguzo za Uislamu, amemuahidi adhabu kali mwenye kuacha kutoa Zaka, ameufungamanisha udugu wa Kiislamu kwa kutubu, kuswali na kutoa zaka, kama Allah alivyosema kuwa: «Ikiwa watatubu na wakasimamisha swala na wakatoa zaka, basi hao ni ndugu zenu katika dini». (Sura Attauba, aya 11) Pia Mtume, swallalahu alayhi wasalam, amesema kuwa: «Uislamu umejengwa juu ya mambo matano.... na kusimamisha swala na kutoa zaka». (Bukhari, Hadithi Na. 8. Muslim, Hadithi Na. 16) Makusudio ya zaka Mali zinazo wajibika kutolewa zaka Nani anapewa zaka?

Comments

Popular posts from this blog

NAMNA YA KUSWALI HATUA KWA HATUA

UTUKUFU WA MJI WA MAKKA NA MSIKITI MTUKUFU

Kisa Cha Nabii Ibraahiym عليه السلام - Sehemu Ya 1