HIJA NA MAFUNDISHO YAKE

Kuhiji Makka ni nguzo ya tano katika nguzo za Uislamu, na ni ibada inayo kusanya aina kadhaa za ibada za kimwili, kiroho na mali. Ni wajibu kutekeleza kwa mwenye uwezo wa mali na afya mara moja tu katika umri.Allah amesema kuwa: «Na ni wajibu kwa watu kwa ajili ya Allah kuhiji Nyumba (Tukufu ya Makka); kwa mwenye uwezo wa kwenda huko. Na mwenye kupinga, basi Allah ni mwenye kujitosheleza na (hana haja na) walimwengu». (Sura Aal-imran, aya 97). Utukufu wa mji wa Makka na Msikiti Mtukufu Maana ya hija Hali za uwezo kwa Muislamu kwenda hija Fadhila za hija Namna ya Kuhiji Umra Makusudio ya hija Kutembela mji wa Madina

Comments

Popular posts from this blog

UTUKUFU WA MJI WA MAKKA NA MSIKITI MTUKUFU

Watatu kizimbani kwa wizi wa tausi watatu wa Ikulu

MAANA YA TOHARA