Skip to main content

MAANA YA FIQHI

MAANA YA FIQHI

Fiq-hi ni neno la kiarabu lenye maana mbili.
Maana ya kwanza ni ya kilugha na ya pili ni ya kisheria.
Katika lugha ya kiarabu neno "fiq-hi" maana yake ni kufahamu na kujua.
Fiq-hi kwa mtazamo wa sheria ni fani ya elimu inyoshughulikia na kusimamia utekelezaji wa sheria, kanuni na na taratibu za Uislamu katika maisha ya kila siku.
Kwa ujumla fiq-hi ni sheria zinazoyatawala maisha ya Muislamu katika nyanja zote za maisha, kuanzia elimu, ibada, uchumi, ulinzi na usalama, ndoa, mirathi na kadhalika.

Comments

Popular posts from this blog

NAMNA YA KUSWALI HATUA KWA HATUA

UTUKUFU WA MJI WA MAKKA NA MSIKITI MTUKUFU

Kisa Cha Nabii Ibraahiym عليه السلام - Sehemu Ya 1