Posts

Muujiza Wa Al-Israa Wal-Mi'raaj Na Mafunzo Yake

Image
Muujiza Wa Al-Israa Wal-Mi'raaj Na Mafunzo Yake Imekusanywa Na: Alhidaaya.com بسم الله الرحمن الرحيم  Anasema Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa):   سُبْحَانَ الَّذِي أَسْرَىٰ بِعَبْدِهِ لَيْلًا مِّنَ الْمَسْجِدِ الْحَرَامِ إِلَى الْمَسْجِدِ الْأَقْصَى الَّذِي بَارَكْنَا حَوْلَهُ لِنُرِيَهُ مِنْ آيَاتِنَا ۚ إِنَّهُ هُوَ السَّمِيعُ الْبَصِيرُ ﴿١﴾ Utakasifu ni wa Ambaye Amemsafirisha usiku mja Wake kutoka Al-Masjid Al-Haraam mpaka Al-Masjid Al-Aqswaa ambao Tumevibariki vilivyoko pembezoni mwake; ili Tumuonyeshe baadhi ya Aayaat (miujiza, ishara, dalili) Zetu. Hakika Yeye (Allaah) ni Mwenye kusikia yote, Mwenye kuona yote.  [Al-Israa 17: 1] Utangulizi: Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa) Anaelezea Utukufu Wake, Ukubwa Wake na Uwezo Wake, kuwa Yeye ni Mweza wa kila kitu na Anafanya kila kitu Anachotaka kukifanya. Yeye pekee Ndiye Mwabudiwa wa kweli na Yeye pekee Yake Ndiye Rabb (Muumba, Mtoaji wa Riziki na Mwenye kutoa ukimu wa kila kiumbe). Alimchuk...