Posts

Showing posts from November, 2019

Wanusurika KIFO Baada ya Kulishwa Biskuti Zenye Dawa za Kulevya

Image
Abiria wawili waliokuwa wakisafiri na basi la Buti la Zungu kutoka Dar es Salaam kwenda Mtwara wamenusurika kifo baada kula biskuti zinazodaiwa kuwa na #DawaZaKulevya wakiwa ndani ya basi hilo - Abiria hao ni Dadi Rashid (49) ambaye ni Afisa Elimu Taaluma wa Utete, Wilaya ya Rufiji na Omary Burian (27) mfanyakazi wa Bodi ya Korosho Dar es Salaam - Kaimu Mganga Mfawidhi Hospitali ya Sokoine Mkoani Lindi, Idrisa Chande amethibitisha kuwapokea wagonjwa hao jana usiku wakiwa hawajitambui na kwamba wanaendelea na matibabu hospitalini hapo 

Je atashuka tena ardhini kabla ya Kiama kutokea?

Image
Dear Brother / Sister, Yesu Mtakatifu, aliyeumbwa bila ya baba kama muujiza, ni mmoja ya mitume wanne watukufu. Katika umri wa miaka thelathini, alipewa utume; na baada ya miaka mitatu, Allah alimpandisha mbinguni bila ya kufikwa na mauaji ya Wayahudi. Yesu Mtakatifu, aliyeumbwa bila ya baba kama muujiza, ni mmoja kati ya mitume wanne watukufu. Alipokuwa na umri wa miaka thelathini, alipewa utume; na baada ya miaka mitatu, Allah alimpandisha mbinguni bila ya kufikwa na mauaji ya Wayahudi. Pia anakumbukwa kwa jina la Masihi. Imefafanuliwa kuwa amepewa cheo hiki kwa sababu aliwaponya wagonjwa kwa kuwapangusa, kwa sababu Zakaria alimpangusa yeye, kwa sababu ataipangusa ardhi; yaani ataifunika. Kama ilivyosimuliwa, Yesu Mtakatifu atashuka ardhini tena wakati wa mwisho na atakuwa katika umma wa Mtume Muhammad (S.A.W.) Madai kuwa Yesu Mtakatifu alisulubiwa. Tukiangalia Injili ya wakati wa sasa, haiwezekani kukuta mtazamo kuhusu makubaliano yaliyokuwepo. Kwa mujibu wa Agano Jipy...

Kwa nini Uislamu ni dini ya kweli?

Image
“Bila ya shaka Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu. Na walio pewa Kitabu hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa sababu ya uhasidi ulio kuwa baina yao. Na anaye zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwepesi wa kuhisabu.”   Qur’an, Familia ya Imran (Aal-i Imran); 19 (3: 19) Dini inamaanisha  “malipo kwa mtindo wa malipo au adhabu”  na inaeleza u husiano kati ya mfuasi na kiongozi mwenye madaraka. Kama neno lenyewe lilivyo, umetolewa ufafanuzi kadhaa wa neno dini. Zipo tofauti za kimsingi kati ya fafanuzi zinazotolewa na wanasayansi wa Kimagharibi (Ulaya) na wanazuoni Waislamu. Bado, kuna tofauti za kimsingi kati ya rai za pande zote mbili kuhusu chanzo cha dini na njia yake ya kimsingi ya kutokea. Kwa mujibu wa rai ya Kiislamu, dini inamaanisha ukamilifu wa kanuni unaomwongoza mwanadamu ili aweze kuishi kulingana na lengo aliloumbiwa na ili atambue lengo hilo katika nidhamu mahusussi. Dini ni msingi unaorekebisha uhusiano una...

Majibu Ya Rais Magufuli Baada Ya Mwananchi Kumtaka Aachie Fedha, Maisha Magumu

Image
Rais Magufuli amewataka Watanzania kufanya kazi kwa bidii na waache kulalamika kwamba hawana fedha wakati hawajitumi. Magufuli ametoa kauli hiyo leo Novemba 27, katika eneo la Shelui wilayani Igunga mkoani Tabora akiwa njiani kuelekea Shinyanga baada ya mwananchi mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Abel Mbinga kumlalamikia maisha magumu. “Rais unafanya kazi nzuri sana, lakini fedha hakuna mheshimiwa, watu wana hali mbaya, akina mama wananyang’anywa TV, friji kwa ajili ya mikopo midogomidogo, tunaomba uachie fedha, mtaani, hali ngumu, mengine yote hatuna shida na wewe, yakikamilika haya hata ukitawala milele,” amesema Abel. Majibu ya Rais Magufli: “Usipofanya kazi hela zitaisha tu, ukitaka hela fanya kazi, wapo watu wanalima sasa hivi, baadaye watapata pesa, wewe umekaa kijiweni unataka pesa ikukute hapo? Labda ukaoe mwanamke mwenye pesa. Cha bure hakipo, hata mimi sina, kinachotakiwa ni kuchapa kazi, maandiko yanasema asiyetaka kazi na asile. “Kalime viazi au matikiti, ukiyaweka...

CCM wampa onyo Benard Membe

Image
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimemuonya Benard Membe, kutokuwa juu ya katiba ya chama hicho. Onyo hilo limetolewa leo  na Dk. Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa CCM, wakati akizungumza katika mahojiano na kipindi cha Konani kinachorushwa na Kituo cha ITV  kupitia mitandao yao ya kijamii. Dk. Bashiru ameeleza kuwa, kama Membe ataendelea kutofuata utaratibu, uongozi wa chama hicho utamlazimisha kufuata utaratibu. “Membe ni mwanachama mwenye haki ya kikatiba lakini ana wajibu. Kwa hiyo kama anataka kuwa mwanachama wa CCM kama walivyo wengine, lakini wametupa ushindi tunaojivunia afutae utaratibu. Asipofuata utaratibu, atalazimishwa kufuata utaratibu,” ameeleza Dk. Bashiru. Hata hivyo, Dk. Bashiru amesema Membe hakuwahi kujadiliwa katika vikao vya chama, licha ya kwamba hakuitikia wito wake, alipomtaka kuonana nae akiwa mkoani Geita. “Hatukuwahi kumjadili na kwenye vikao hakuwahi kufika, kosa halifi kama jinai, kosa halifi unaweza ukadhani limekufa kumbe ni utaratibu wa wakati. Kupi...